Mwanzo Mwisho Daktari wa Marehemu Godzilla Kafunguka - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, February 13, 2019

Mwanzo Mwisho Daktari wa Marehemu Godzilla Kafunguka


Mtu wa karibu na Marehemu Godzilla ambaye pia ni Daktari aliyemfanyia baadhi ya vipimo kabla ya umauti kumkuta amefunguka kuhusu ugonjwa uliokua ukimsumbua Marehemu huku akisema kuwa kiwango cha sukari kilikuwa juu na presha ilikua imeshuka na Marehemu alikuwa akilalamika kuhusu tumbo.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama mwanzo mwisho alichozungumza Daktari huyo.

Loading...

No comments: