NAIBU SPIKA DKT. TULIA MGENI RASMI SEMINA YA MAFUNZO YA MALEZI KWA UMOJA WA WABUNGE WANAWAKE TANZANIA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, February 6, 2019

NAIBU SPIKA DKT. TULIA MGENI RASMI SEMINA YA MAFUNZO YA MALEZI KWA UMOJA WA WABUNGE WANAWAKE TANZANIA

 

 Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (katikati) akizungumza na Umoja wa Wabunge wanawake Tanzania (TWPG) wakati wa semina ya mafunzo ya malezi iliyofanyika leo tarehe 6 februari, 2019 katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto kwake ni Mwenyekiti Umoja wa Wabunge wanawake Tanzania (TWPG), Mhe. Margaret Sitta, kulia kwake ni Makamu Mwenyekiti, Mhe. Susan Lyimo, wa pili kushoto ni katibu Mhe. Lolensia Bukwimba, Waziri na Mbunge mstaafu, Mhe. Anna Abdallah (kulia), Mwanamke wa kwanza wa Tanzania kupata Shahada (Degree) ambae aliwahi kuwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Weru weru iliyopo Mjini Moshi mkoani Kilimanjaro, Dkt. Maria kamm (kushoto) na Mratibu wa mafunzo hayo kutoka ofisi ya Bunge Ndg. Angelina Sanga
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akimuwakilisha Spika Ndugai akifungua semina ya mafunzo ya malezi kwa Umoja wa Wabunge wanawake Tanzania (TWPG) iliyofanyika leo tarehe 6 februari, 2019 katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.
Loading...

No comments: