NAIBU WAZIRI KANYASU ATAKA UJENZI IHUMWA UTUMIE ZAIDI VYUMA BADALA YA MBAO - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, February 18, 2019

NAIBU WAZIRI KANYASU ATAKA UJENZI IHUMWA UTUMIE ZAIDI VYUMA BADALA YA MBAO


 Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Constantine Kanyasu akiwa pamoja Wakandarasi  akikagua jengo la Wizara ya Maliasili na Utalii kwa ndani wakati alipotembelea eneo la Ihumwa jijini Dodoma.
 Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Constantine Kanyasu akiwa pamoja Wakandarasi  akikagua jengo la Wizara ya Maliasili na Utalii wakati alipotembelea eneo la Ihumwa jijini Dodoma.
 Muonekano wa jengo la Wizara ya Maliasili na Utalii katika hatua za mwisho wa kukamilika kwake katika mji wa kiserikali wa Ihumwa jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Constantine Kanyasu akioneshwa mtindo wa paa kwa ndani utakavyokuwa katika jengo la Wizara ya Maliasili na Utalii na Mkandarasi Clement Shaibu wakati alipotembelea kwa ajili ya kukagua jengo hilo linalojengwa Ihumwa jijini Dodoma.(PICHA ZOTE NA LUSUNGU HELELA)
Loading...

No comments: