NBA: DWYANE WADE AWAUA WARRIORS SEKUNDE YA MWISHO YA MCHEZO, KD&STEPH HAWAAMINI. - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, February 28, 2019

NBA: DWYANE WADE AWAUA WARRIORS SEKUNDE YA MWISHO YA MCHEZO, KD&STEPH HAWAAMINI.


Mpira wa mwisho wa pointi 3 aliyeurusha supastaa na nguli wa timu ya kikapu ya MIAMI HEAT katika sekunde ya mwisho ya mchezo dhidi ya mabingwa watetezi wa ligi ya NBA, Golden State Warriors uliipa ushindi MIAMI HEAT katika mechi ngumu ambayo hakuna aliyewaza kuwa Miami wangeshinda kwa kwa tofauti ya pointi 1 tu (126-125) 

BONYEZA LINK HII KUONA TUKIO HILO:
>>> https://www.foxsports.com/florida/video/1449615939771

Waliofanya vizuri kwa Golden State Warriors:

Points: Klay Thompson - 36
Assists: Kevin Durant - 5
Rebounds: Curry/Looney/Bell - 6


Waliofanya vizuri kwa Miami Heat:

Points: Goran Dragic - 27
Assists: Richardson/Winslow - 5
Rebounds: Adebayo - 10


Loading...

No comments: