PICHA: Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Mke Wake Wafika Nyumbani kwa Ruge Mutahaba Kutoa Pole na kuwafariji wafiwa. - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, February 28, 2019

PICHA: Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Mke Wake Wafika Nyumbani kwa Ruge Mutahaba Kutoa Pole na kuwafariji wafiwa.

PICHA: Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Mke Wake Wafika Nyumbani kwa Ruge Mutahaba Kutoa Pole na kuwafariji wafiwa.

 Rais Mstaafu Dr. Jakaya Kikwete na Mke wake Mama Salma Kikwete leo wamefika nyumbani kwa Prof. Mutahaba ambaye ni baba mzazi wa Ruge Mutahaba aliyekuwa mkurugenzi wa uzalishaji vipindi wa Clouds Media Group kutoa pole na kuwafariji wafiwa.

Ruge Mutahaba Alifariki dunia Juzi nchini Afrika Kusini alikokuwa akipatiwa matibabu ya figo zilizoanza kumsumbua mwaka jana.

Loading...

No comments: