Picha: Watu watano wafariki kwenye ajali ya ndege Kenya - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, February 14, 2019

Picha: Watu watano wafariki kwenye ajali ya ndege Kenya


Watu wote watano waliokuwamo ndani ya ndege ndogo aina ya Cessna 206-5Y BSE wamefariki dunia nchini Kenya. Ni baada ya ndege hiyo kuanguka katika Mji wa Londiani, Kenya saa 5 asubuhi leo. Ndege hiyo inayomilikiwa na Safari Link ilikuwa ikisafirisha abiria kutoka Ol Kiombo na kuwapeleka Lodwar.
Loading...

No comments: