PICHA: YANGA SC WAKIJIANDAA NA MECHI YAO DHIDI YA SIMBA WIKIENDI HII - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, February 13, 2019

PICHA: YANGA SC WAKIJIANDAA NA MECHI YAO DHIDI YA SIMBA WIKIENDI HIIMambo yanaanza kunoga kwani ule mpambano ambao husubiriwa kwa muda mrefu na ambao hufuatiliwa na watu wengi Tanzania, Afrika na duniani kwa ujumla, wa watani wa jadi unakaribia na utapigwa wikiendi hii. 


Mara ya mwisho timu hizo kukutana zilitoka suluhu ya bao 1-1 pale uwanja wa taifa, mahali ambapo watakutania pia kwani timu hizo 2 zinautumia uwanja huo kama uwanja wao wa nyumbani. 

Nani kuibuka na ushindi katika mechi hiyo ya watani wa jadi? 
Loading...

No comments: