Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mwenyekiti wa Baraza la watu Wenye ulemavu na Mwenyekiti wa REA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, February 15, 2019

Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mwenyekiti wa Baraza la watu Wenye ulemavu na Mwenyekiti wa REARais John Magufuli amemteua Dk Lucas Kija kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Ushauri la Taifa kwa Watu Wenye Ulemavu.

Aidha, Rais Magufuli amemteua Michael Nyagoga kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Wakala wa Umeme Vijijini. Uteuzi huo umeanza rasmi Februari 13, 2019
Loading...

No comments: