REKODI YA KAGERE, NDANI YA MWEZI MMOJA, MABAO YAKE YAMEONDOKA NA MAKOCHA WATATU - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Sunday, February 24, 2019

REKODI YA KAGERE, NDANI YA MWEZI MMOJA, MABAO YAKE YAMEONDOKA NA MAKOCHA WATATU
Mshambuliaji wa Simba, Meddy Kagere ameweka rekodi ya mabao yake manne kuwafukuzisha kazi makocha wawili wakuu na mmoja msaidizi ndani ya mwezi mmoja.

Mabao yake mawili dhidi ya JS Saoura, Simba ikishinda kwa mabao 3-0 kwenye Uwanja wa Taifa katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, hatua ya makundi, kocha akatupiwa virago.

Kagere tena amefunga mabao mawili, Simba ikiitwanga Azam FC kwa mabao 3-1, Kocha Hans van der Pluijm na msaidizi wake, Juma Mwambusi, nao wamefungashiwa virago na Azam FC ingawa bado haijatangaza rasmi.

Ukiangalia uwanja ni huohuo na mfungaji wa mabao ni yuleyule
Loading...

No comments: