SADIO MANE AWACHEKA MAN UNITED BAADA YA KICHAPO KUTOKA KWA PSG - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, February 13, 2019

SADIO MANE AWACHEKA MAN UNITED BAADA YA KICHAPO KUTOKA KWA PSGWinga na mshambuliaji wa klabu ya Liverpool inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza pamoja na ligi ya mabingwa ulaya, SADIO MANE ameshindwa kuzuia furaha yake baada ya mahasimu wao timu ya Manchester United kukubali kichapo cha mabao 2-0 nyumbani kwao katika uwanja wa OLD TRAFFORD usiku wa kuamkia leo. 

Msenegali huyo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa instagram alipost kwenye status picha ya kwanza ikionyesha anaangalia mechi hiyo huku ikionyesha matokeo ya 2-0 na akaandika "Hummm" kabla ya kupost picha ya pili kwenye status tena akionekana akicheka sana na kocha wake Jurgen Klopp kwenye mazoezi. 

 
Loading...

No comments: