TEGEMEA KUZIONA EMOJI ZA WALEMAVU ZIKIANZA KUTUMIKA KWENYE MITANDAO - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, February 6, 2019

TEGEMEA KUZIONA EMOJI ZA WALEMAVU ZIKIANZA KUTUMIKA KWENYE MITANDAO


Uanzishwaji na uzinduzi wa emoji mpya zinazowawakilisha watu wenye ulemavu umepokelewa vyema na wanakampeni wengi wa haki za walemavu ulimwenguni. 

Emoji hizo zinajumuisha vifaa vya kusaidia kusikia, viti vya walemavu, miguu ya bandia, fimbo za wasioona, pamoja na mbwa muongozaji. 

Emoji hizo zinategemewa kuanza kuwa ndani ya simu janja na kutumika kuanzia nusu ya pili ya mwaka huu.


Loading...

No comments: