TWPG WAKUTANA NA WAFADHILI WA MRADI WA LSP II - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, February 6, 2019

TWPG WAKUTANA NA WAFADHILI WA MRADI WA LSP II Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Wanawake  Tanzania (TWPG), Mhe. Margaret Sitta akizunguma katika kikao cha baadhi ya wajumbe wa umoja huo pamoja na wafadhili wa Mradi wa Kulijengea Bunge Uwezo Awamu ya Pili (LSP II) kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
Wakurugenzi wa Idara na Vitengo katika Ofisi ya Bunge wakiwa katika Kakao cha pamoja na wafadhili wa Mradi wa Kulijengea Bunge Uwezo Awamu ya Pili (LSP II) kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.


No comments: