Ujumbe wa Mo Dewji kwa Yanga baada ya kipigo kutoka Simba - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, February 18, 2019

Ujumbe wa Mo Dewji kwa Yanga baada ya kipigo kutoka Simba


Ujumbe wa Mo Dewji kwa Yanga baada ya kipigo kutoka Simba

Muwekezaji Mkuu wa klabu ya soka ya Simba, Mohhammed Dewji ametuma ujumbe kwa watani zao wa jadi Yanga baada ya Jumamosi ya jana kuwafunga kwa bao 1-0 kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara.

Dewji ametuma ujumbe huo kupitia amtandao wake wa Instagram kwa kuandika, "Pole Mtani, Ndio mpira. Hakuna Simba bila Yanga."

Baada ya mchezo huo wa jana Simba wanashika nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi kuu wakiwa na alama 39 huku wakiwa bado na michezo nane mkononi na Yanga wanaendelea kuongoza ligi hiyo wakiwa na alama 58.
Loading...

No comments: