VIDEO: Aibu, Simba Walivyotua Airport ya Dar kwa Mafungu Mafungu, Chama, Okwi Wabaki Misri - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Tuesday, February 5, 2019

VIDEO: Aibu, Simba Walivyotua Airport ya Dar kwa Mafungu Mafungu, Chama, Okwi Wabaki MisriBaadhi ya wachezaji wa Simba wakiwa na viongozi wa timu hiyo na kocha wao Patrick Aussems wamewasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu JK. Nyerere Jumatatu hii majira ya saa nane mchana. Lakini kubwa zaidi lililowashtua watu wengi ni jinsi ya staili waliyotumia kuwasili hapa nchini wakiwa mafungu mafungu huku wengine wakitarajiwa kuwasili Jumanne hii ya February 5, 2019.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINIVIDEO KWA HISANI YA MUUNGWANA BLOG
Loading...

No comments: