VIDEO: WABUNGE WAWAKA, WATOA ONYO KWA WANAOMTUKANA NA KUMTISHIA MAISHA ZAHERA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, February 7, 2019

VIDEO: WABUNGE WAWAKA, WATOA ONYO KWA WANAOMTUKANA NA KUMTISHIA MAISHA ZAHERA


Wabunge mashabiki wa Yanga tawi la Bunge wamewataka mashabiki wanaomtukana kocha wa timu hiyo Mwinyi Zahera kuacha mara moja kabla mkondo wa sheria aujachukua nafasi yake

Pia wabunge hao wamewatupia lawama shirikisho la soka nchini kwa kuendesha ligi kwa mfumo wa upendeleo katika upangaji wa ratiba.

Loading...

No comments: