VIDEO: Waziri Lugola atoa agizo zito kwa TCRA na Polisi/ Haiwezekani wamtukane Rais, "Wakamatwe" - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, February 13, 2019

VIDEO: Waziri Lugola atoa agizo zito kwa TCRA na Polisi/ Haiwezekani wamtukane Rais, "Wakamatwe"

Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi, Lugola ameagiza mamlaka ya TCRA pamoja na jeshi la polisi kuwakamata watu ambao wanatumia mitandao ya kijamii kikuikashifu serikali pamoja na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kunzia Blogs, wanaotuma jumbe fupi pamoja na magroup ya WhatsApp.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI


Loading...

No comments: