VideoMPYA: Ommy Dimpoz kaachia wimbo mpya baada ya kupona “Ni Wewe” - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Tuesday, February 5, 2019

VideoMPYA: Ommy Dimpoz kaachia wimbo mpya baada ya kupona “Ni Wewe”


Msanii wa Bongofleva Ommy Dimpoz ambaye alikuwa anasumbuliwa na maradhi toka June 2018, kiasi cha kupelekea kufanyiwa upasuaji wa mfumo wake wa chakula mara mbili katika nchi za Afrika Kusini na Ujerumani, leo amerudi Tanzania na kuachia video ya Wimbo Mpya “Ni Wewe”

K
Loading...

No comments: