Wazazi Wengi Huwakataza Watoto Wao Wasioe Wanyakyusa, Wachaga na Wahaya...Nini Sababu? - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Tuesday, February 26, 2019

Wazazi Wengi Huwakataza Watoto Wao Wasioe Wanyakyusa, Wachaga na Wahaya...Nini Sababu?


Habari wadau.... Topic hapo juu inajieleza huwa najiuliza hili swali bila majibu..coz wazazi wengi huishia kusema tuu nimesema usioe mnyakyusa,mhaya au mchaga..bila kutoa ufafanuzi..kwanini..hebu tujadiliane..kama unafahamu chochote kuhusu makatazo Haya Funguka Hapa Tafadhali. 

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI NA TUTAYACHAPISHA .........
Loading...

No comments: