WAZIRI MKUU MAJALIWA AWAFUNDA VIONGOZI WA WILAYA YA BIHARAMULO - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, February 22, 2019

WAZIRI MKUU MAJALIWA AWAFUNDA VIONGOZI WA WILAYA YA BIHARAMULO


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa wilaya ya Biharamulo, Sada Malunde (wa pili kulia), Mkurugenzi  wa Halmashauri hiyo, Wende Ng’ahara (wa tatu kulia) na Katibu Tawala wa wilaya hiyo, Agnes Rwakayonza (kushoto) katika kikao cha ndani cha kuwafunda viongozi hao kilichofanyika  kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Februari 21, 2019.   Akihutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Nyakanazi wilayani Biharamulo, Februari 20, 2019, Mheshimiwa Majaliwa aliwaonya viongozi hao kumaliza tofauti zao ili kuwahudumia wananchi ipasavyo.  Kikao hicho pia kilihudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Berigedia Jenearli, Marco Gaguti (wa pili kulia) na Katibu Tawala wa Mkoa huo, Profesa Faustine Kamuzora. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Loading...

No comments: