WIZKID ADOKEZA KUFANYA TOUR KUBWA NYINGI SANA MWAKA HUU - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, February 13, 2019

WIZKID ADOKEZA KUFANYA TOUR KUBWA NYINGI SANA MWAKA HUUWizkid anaenda kuiteka Marekani mwezi Mei na June mwaka huu, mwimbaji huyo wa Nigeria ametangaza kutumbuiza na wasanii wakubwa wa Marekani kwenye matamasha mawili tofauti.

StarBoy ataanza na tamasha la 'The Ends Festival' ambalo litafanyika Mei 31 mpaka June 2 ambapo atakuwepo na rapper Nas pamoja na Damian Marley. Wengine watatajwa. 


Tamasha lingine ni 'Amsterdam Urban Pop Music Festival' ambapo atatumbuiza na Meek Mill, Tory Lanez, Lil Baby, Jacquees na wengine kibao. Itafanyika mjini Amsterdam Uholanzi. 


Nyingine ni show atakayoifanya jijini TORONTO mwishoni mwa mwezi March 
Loading...

No comments: