ACT-WAZALENDO YAPEWA SIKU 14 NA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA KUJIELEZA KWANINI KISIFUTWE - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, March 25, 2019

ACT-WAZALENDO YAPEWA SIKU 14 NA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA KUJIELEZA KWANINI KISIFUTWE

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetoa siku 14 kwa chama cha ACT-Wazalendo kujieleza kwanini  kisifutiwe usajili wake wa kudumu kutokana na vitendo kadhaa vya chama hicho vinavyopelekea chama hicho kukosa sifa za usajili na kukiuka sheria ya vyama vya siasa.Kwa mujibu wa barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa iliyotumwa kwa ACT-Wazalendo,leo tarehe 25 machi, miongoni mwa mambo yanayokiweka hatarini chama hicho ni pamoja na kushindwa kuwasilisha ripoti ya ukaguzi wa hesabu za mwaka 2013/2014 kwa Msajili wa Vyama vya Siasa.

Na vitendo kadhaa vya uvunjifu wa amani vilivyofanywa na wanachama ikiwemo kutumia tamko takatifu la dini ya kiislamu (Takbira) katika moja ya tukio la kichama matendo ambayo yavynja sheria ya vyama vya siasa hapa nchini.

Zaidi soma baraua hiyo hapo chini.Loading...

No comments: