BAADA YA KUFANYA VIZURI JANA DHIDI YA LYON, DEMBELE ATAKUWA NJE KWA WIKI 3-4 - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, March 14, 2019

BAADA YA KUFANYA VIZURI JANA DHIDI YA LYON, DEMBELE ATAKUWA NJE KWA WIKI 3-4


Winga wa klabu ya Barcelona, Ousmane Dembele atakuwa nje ya dimba kwa muda wa wiki tatu mpaka nne baada ya kuumia misuli ya nyuma ya paja.

Mabingwa hao wa Hispania wamethibitisha taarifa hizo baada ya Mfaransa huyo kukamilisha vipimo mara baada ya mechi ya jana ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Lyon waliyoshinda 5-1 huku yeye akifunga goli la 5. 
Loading...

No comments: