BOT NA AZANIA BANK LTD WASAINI MKATABA WA UHAMISHAJI WA AMANA NA MADENI YA BANK M - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, March 18, 2019

BOT NA AZANIA BANK LTD WASAINI MKATABA WA UHAMISHAJI WA AMANA NA MADENI YA BANK M
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na Azania Bank Ltd, wametia saini makubaliano kuhusu uhamishaji wa amana na madeni yaliyokua Bank M. BoT ilihamisha mali na madeni ya Bank M kwenda Azania Novemba mwaka jana kutokana na Bank M kukabiliwa na upungufu mkubwa wa ukwasi.\Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na Azania Bank Ltd, wametia saini makubaliano kuhusu uhamishaji wa amana na madeni yaliyokua Bank M. BoT ilihamisha mali na madeni ya Bank M kwenda Azania Novemba mwaka jana kutokana na Bank M kukabiliwa na upungufu mkubwa wa ukwasi.

PICHA KWA HISANI YA BOT
Loading...

No comments: