BREAKING NEWS: SCHALKE 04 YAACHANA NA DOMENICO TEDESCO - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, March 15, 2019

BREAKING NEWS: SCHALKE 04 YAACHANA NA DOMENICO TEDESCO


Klabu ya soka ya Schalke 04 inayoshiriki ligi kuu ya Ujerumani maarufu kama Bundesliga, imemfukuza kazi kocha wake Domenico Tedesco leo hii. 

Klabu hiyo ya Ujerumani kwa sasa inashika nafasi ya 14 katika msimamo wa ligi kuu na walipoteza 7-0 kwenye mechi ya marudiano ya ligi ya mabingwa Ulaya dhidi ya Manchester City hapo juzi. 

Kocha wa zamani wa klabu hiyo aitwaye Huub Stevens ndiye atakayekuwa madarakani kwenye mechi yao ya wikiendi hii dhidi ya RB Leipzig. 
Loading...

No comments: