#BREAKING NEWS;MAHAKAMA KUU YAMTAMBUA PROF LIPUMBA KAMA MWENYEKITI HALALI WA CUF

Uamuzi huu umetolewa leo baada ya kuwekwa pingamizi dhidi ya Uenyekiti wa Lipumba ndani ya chama hicho

Pingamizi lilifunguliwa baada ya Msajili wa Vyama vya Siasa kumtambua Profesa Ibrahim Lipumba kama ni Mwanyekiti halali wa Chama cha Wananchi(CUF)

Kesi hii ilifunguliwa na Bodi ya Wadhamini wa chama hicho kwa upande unaomuunga mkono Maalim SeifCHANZO; JF

Post a Comment

0 Comments