CRISTIANO RONALDO MCHEZAJI BORA WA WIKI UEFA, GOLI LA MANE DHIDI YA BAYERN LAWA GOLI BORA PIA. - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Saturday, March 16, 2019

CRISTIANO RONALDO MCHEZAJI BORA WA WIKI UEFA, GOLI LA MANE DHIDI YA BAYERN LAWA GOLI BORA PIA.Mshambuliaji wa klabu ya Juventus, Cristiano Ronaldo amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa wiki katika Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League). 


Wakati huohuo, goli alilofunga mshambuliaji wa Liverpool Fc, Sadio Mane dhidi ya Bayern Munich limechaguliwa kuwa goli bora la wiki ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Loading...

No comments: