DONGO LA NYIKA ALILOWAPIGA SIMBA BAADA YA KICHAPO KUTOKA KWA MWARABU - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Sunday, March 10, 2019

DONGO LA NYIKA ALILOWAPIGA SIMBA BAADA YA KICHAPO KUTOKA KWA MWARABU

Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ndani ya klabu ya Yanga, Hussein Nyika, amewapiga dongo watani zake wa jadi Simba baada ya kupokea kichapo cha mabao 2-0.

SImba ilipata kipigo hicho jana dhidi ya JS Saoura katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliopigwa huko Algeria.

Nyika ameandika kupitia Instagram kuwa Simba wamejitahidi kupunguza idadi ya mabao kutoka KHAMSA mpaka mawili.


No comments: