GRIEZMANN AJUTIA KUKATAA OFA YA FC BARCELONA MWAKA JANA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, March 18, 2019

GRIEZMANN AJUTIA KUKATAA OFA YA FC BARCELONA MWAKA JANA


Nyota wa klabu ya Atletico Madrid Antoine Griezmann, ambaye alikataa kuhamia Barcelona mwaka jana ameanza kufikiria mustakabali wake ndani ya klabu yake baada ya kutolewa katika michuano ya UEFA. 

Kwa mujibu wa taarifa kutoka Jarida la nchini Ufaransa Antoine Griezmann, ziansema kwamba Barca wapo tayari kurejea tena katika meza ya mazungumzo ya kumnasa AG7 ambaye naye ana mashaka na maendeleo ya Atletico. 

Baada ya kutolewa na Juve ndani ya UEFA ikafuata na kichapo kutoka Athletic Bilbao ambacho kiuhalisia kimemaliza ndoto ya kutwaa taji lolote msimu huu. 

Loading...

No comments: