Haji Manara Amtupia Dongo Kiaina Shafih Dauda..'Najua Wachambuzi Hamtaipongeza Simba" - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Sunday, March 17, 2019

Haji Manara Amtupia Dongo Kiaina Shafih Dauda..'Najua Wachambuzi Hamtaipongeza Simba"


Haji Manara Ameandika haya kupitia ukurasa wake wa Instagram:

"Hawa wanaume hutasikia wakipongezzwa na hao wanaoitwa Wachambuzi wetu,inaonekana ni roho mbaya tu,na wengine hunichukia Haji binafsi kwa kuwa nawanyoosha ,hvyo hata wachezaji hawa waliowafunga Nkana,Mbambane,Soura,Ahly na Vita na kufuzu Robo fainali ya Afrika watachukuliwa poa tu!!
Hahahahaha hii ndio Simba na kalambeni malimao"

Dongo hili kwa wafuatiliaji wa Soka Tanzania tunajua kabisa linaenda kwa Mchambuzi wa Soka Shafii Dauda kwani Wakati haya mashindano yanaanza aliwebeza na kusema simba katika kundi lake ni Underdog lakini leo wameweza kufanikiwa kuingia roba fainali 
Loading...

No comments: