Harmonize ameachia video ya moja ya wimbo wake uliopo kwenye EP ya Afro Bongo, aliyowashirikisha Diamond na Burna Boy (+ Video) - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Tuesday, March 12, 2019

Harmonize ameachia video ya moja ya wimbo wake uliopo kwenye EP ya Afro Bongo, aliyowashirikisha Diamond na Burna Boy (+ Video)


Msanii wa muziki wa Bongo Fleva anayetoka katika lebo ya WCB Harmonize ameachia video ya wimbo wa Kainama aliyowashirikisha Diamond Platnumz na msanii kutoka Nigeria Burna Boy.

Ikumbukwe Harmonize aliachia EP ya nyimbo nne akiwashirikisha wasanii mbalimbali wakiwemo Yemi Alade, Mr Eazi na Sarah ambaye ni mpenzi wake. na alisema kuwa video za nyimbo zote ziko tayari.

Loading...

No comments: