Hatimaye Nandy Apata Nguvu na Kufunguka Makubwa Kuhusu Ruge - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, March 6, 2019

Hatimaye Nandy Apata Nguvu na Kufunguka Makubwa Kuhusu RugeHatimaye Nandy Apata Nguvu na Kufunguka Makubwa Kuhusu Ruge

 From @officialnandy -  Kila mtu ana mtu ambaye ameumbwa na MUNGU kwa ajili yake. Na jinsi yakukutana na uyo mtu inaweza ikawa ni ndefu ikawa na matuta mara nyingine inaweza ikakuchosha lakini mwisho wa siku kila kitu kinakuja kuwa sawa.. Wanaweza kutokea watu wachache ambao watakuelewa na pia kuelewa ndoto zako hata kama unazifanya mwenyewe.. watakuwa hapo kukupa mrejesho chanya na watakubeba kwenye safari yako kwa moyo wote... Watanzania wanakupenda  Umegusa maisha ya watu kwa namna tofauti tofauti  Ulizaliwa kuwa kiongozi  Ulikuwa na moyo wakutoa.. Ruge ulikuwa rafiki yangu wa karibu sana, ulikuwa kila kitu kwangu  Ruge ulielewa ndoto yangu  Ruge ulinipa moyo wa kupambana hata kama nilikua nataka ku give up  Ruge uliona ndoto yangu na hukuwa na wasiwasi nayo.... Ulivo pumzika naweza kukuhakikishia...
Nitakufanya ujivunie...
Nitaendelea kuzi enzi na kuziishi hekima zako
Na nitafanya juhudi kufikia malengo tuliyo panga pamoja.. Nakupenda sana na nitaendelea kukupenda hata kama haupo nasi
YOUR THE BEST THING THAT EVER HAPPEN TO ME
ROHO YANGU.. R.I.P 
Loading...

No comments: