HAWA NDIO WANAOWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA WIKI UEFA CHAMPIONS LEAGUE - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, March 7, 2019

HAWA NDIO WANAOWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA WIKI UEFA CHAMPIONS LEAGUE


Baada ya mechi 4 za wiki hii za ligi ya mabingwa barani ulaya kukamilika, sasa ni wakati wa mashabiki duniani kote kupiga kura kumchagua mchezaji bora wa wiki hii. UEFA wameshatoa majina ya wachezaji wanne wanaowania tuzo hiyo. Wachezaji hao ni: 

  1. Dusan Tadic (Ajax FC) 
  2. Hugo Lloris (Tottenham) 
  3. Romelu Lukaku (Man United) 
  4. Moussa Marega (FC Porto)

Loading...

No comments: