Huyu Ndiye msanii Anayemkubali Master Jay ni yule aliyewahi kumkataa BSS - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, March 14, 2019

Huyu Ndiye msanii Anayemkubali Master Jay ni yule aliyewahi kumkataa BSS


Master Jay ataja msanii anayemkubali Bongo, ni yule aliyewahi kumkataa BSS
Producer mkongwe katika game ya Bongo fleva Joachim Kimario (Master Jay) amemtaja msanii wa Bongo Fleva anayekumbali kindaki ndaki.

Master Jay amesema kuwa msanii huyo ni Harmonize hata katika Top Three ukimwambia ataje mbili atakuwa ni Harmonize ambaye alishawahi kumwambie achukue Time katika shindano la BSS Uwanja wa Taifa.

"Kwa bahati mbaya au nzuri, Mimi ni Big Fun wa mtu ambaye nilimbondaga sana nakupa Exclusive nyingine hata ajui lakini mara nyingi nasikiliza sana ngoma zake ukiniambia nitaje Top three nina uhakika mbili zitakuwa za kwake Harmonize," amesema Master Jay Wasafi Tv.

"Yule yule ambaye alikuja uwanja wa Taifa nikamwambia chukua time lakini namheshimu sana alafu hajui tu siku mkipata kumita Shaa kwenye kipindi chenu atawaambia yaani mimi nasikiliza sana nyimbo zake." 
Loading...

No comments: