Huyu Ndiye Rubani wa Ndege ya Ethiopia Iliyoanguka na Kuua Abiria Wote, Yasemekana Alijaribu Kuokoa Ikashindikana - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Tuesday, March 12, 2019

Huyu Ndiye Rubani wa Ndege ya Ethiopia Iliyoanguka na Kuua Abiria Wote, Yasemekana Alijaribu Kuokoa Ikashindikana
Anaitwa Yared Getachew Mulugeta
ndie alikuwa Rubani wa ndege Ethiopian airlines iliyoanguka jana ambayo ilikuwa inatoka uwanja wa Addis Ababa kuelekea Nairobi.

Mulugeta alianza urubani toka mwaka 2010. Inaelezwa ndugu Mulugeta alipambana kurudisha ndege uwanjani baada ya hitlafu ya ndege ila ilishindikana na kuanguka.

Ndege hiyo iliyoanguka jana ili nunuliwa Miezi minne(4) iliyopita. Abiria wote 149 na wafanyakazi 8 waliokuwemo kwenye ndege hiyo akiwemo yeye wamekufa baada ya ndege hiyo kulipuka. Cha kusikitisha zaidi ni kwamba ndege hiyo ilianguka dakika 6 tu toka itoke uwanjani mjini Addis Ababa, hakika wanadamu hakuna aijuaye kesho yake, Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi kwakweli inauma sana. 
Loading...

No comments: