Ifahamu gari yenye spidi zaidi duniani (Picha) - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, March 8, 2019

Ifahamu gari yenye spidi zaidi duniani (Picha)


Teknolojia ndio kitu cha kukiogopa kwa sasa, Huko nchini Itali kampuni moja ya magari imezindua gari yake ya kwanza iitwayo, Pininfarina Battista yenye uwezo wa kutembea kutoka km 0 -100 ndani sekunde 2 kwa mujibu wa mtandao wa techcrunch.
“Pinin” Farina — is an all-electric beast of a hypercar that is faster than a current Formula 1 race car and can travel from 0 to 62 miles (km 100) an hour in less than two seconds. “
Vyanzo mbalimbali vya habari vimeripoti kwamba gari hiyo kwa sasa ndio gari yenye kasi zaidi ukiachana magari ya mashindano ya Formula 1 ambayo yanatembea 372.54 km/h.
Lamborghini nayo ilikuwa na rekodi ya kutembea kwa speed ya 349 km/h.
Lakini Pininfarina Battista inayouzwa kwa pauni milioni £2m ni gari la kipekee yenye speed ya juu zaidi.
Battista linatumia umeme wa batri wala sio mafuta kama wapinzani wake. 
Loading...

No comments: