VALENCIA AWAAGA MASHABIKI WA UNITED, KUONDOKA MWISHO WA MSIMU - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, March 4, 2019

VALENCIA AWAAGA MASHABIKI WA UNITED, KUONDOKA MWISHO WA MSIMU


Inawezekana kabisa huu ndio ukawa msimu wa mwisho wa beki wa kulia wa klabu ya Manchester United Antonio Valencia kuichezea klabu hiyo kwani ameandika ujumbe wa Twitter unaoashiria kuwa huu ndio msimu wa mwisho na atarudi kwao Ecuador. 

Kwenye ujumbe huo Valencia ameweka wazi rasmi kuwa Msimu huu utakua wa mwisho kwake kuitumikia Klabu hiyo. Beki huyo amekuwa akisumbuliwa na Majeraha tangu Mwaka Jana pamoja na kutoelewana na kocha aliyepita Jose Mourinho.
Loading...

No comments: