Jimmy Carter Avunja Rekodi ya George H. W Bush - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Sunday, March 24, 2019

Jimmy Carter Avunja Rekodi ya George H. W Bush


Jimmy Carter avunja rekodi ya George H. W Bush
Rais wa 39 wa Marekani, Jimmy Carter, ameweka rekodi ya kuwa Rais Mstaafu wa kwanza duniani, ambaye ameishi kwa muda mrefu baada ya kutoka madarakani.

Carter mwenye umri wa miaka 94, amevunja rekodi iliyokuwa ikishikiliwa na Hayati George H. W Bush.Carter aliiongoza Marekani kuanzia Januari 20, 1977 hadi Januari 20, 1981. Jimmy Carter aliingoza Marekani toka January 20, 1977  haidi January 20, 1981 alipostaafu. 
Loading...

No comments: