JUVE YAPINDUA MATOKEO UEFA RONALDO AKIPIGA HAT-TRICK, MAN CITY YAPIGA MTU 7-0 - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, March 13, 2019

JUVE YAPINDUA MATOKEO UEFA RONALDO AKIPIGA HAT-TRICK, MAN CITY YAPIGA MTU 7-0


Timu ya Juventus imepindua matokeo kibabe kwa kuitandika Atletico de Madrid kwa jumla ya mabao 3-0 katika mchezo uliopigwa huko Italy.

Mabao pekee ya Juventus yamewekwa kimiani na Cristiano Ronaldo.Wakati huohuo Manchester City nayo imecharaza Schalke 04 ya Ujerumani kwa maba0 7-0

Loading...

No comments: