Kagame Awakamata Majenerali Watatu wa Jeshi - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, March 6, 2019

Kagame Awakamata Majenerali Watatu wa Jeshi


Kagame Awakamata Majenerali Watatu wa Jeshi

MAJENERALI  Joseph Nzabamwita,  Fred Ibingira na Emmanuel Ruvusha, wamekamatwa na kuwekwa chini ya ulinzi majumbani mwao kwa amri ya Rais wa Rwanda, Jenerali  Paul Kagame.


Tukio hili linathibitisha sababu ya Kagame kufunga mpaka kati ya Rwanda na Uganda.  Nzabamwita ni Katibu Mkuu wa Shirika la Usalama wa Taifa ambapo Ibingira ni ofisa wa nne kwa cheo chini Rwanda akiwa jenerali kamili.  Ruvusha ni meja-jenerali. 
Loading...

No comments: