KAZI IMEANZA: DK.MAHIGA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA MTANDAO WA HUDUMA YA MSAADA WA KISHERIA AFRIKA MASHARIKI - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, March 6, 2019

KAZI IMEANZA: DK.MAHIGA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA MTANDAO WA HUDUMA YA MSAADA WA KISHERIA AFRIKA MASHARIKI  Waziri wa Katiba na Sheria Dk.Augustine Mahiga (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Wanachama waanzilishi wa Mtandao wa Huduma ya Msaada wa Kisheria Ukanda wa Afrika Mashariki (EARLAN), baada ya kushuhudia mkataba wa utiaji saini ushirikiano wa utoaji msaada wa kisheria kwa wananchi wao katika nchi wanachama wa mtandao huo uliofanyika jijini Dar es Salaam leo.Nchi zinazounda mtandao huo ni Kenya, Somalia, Rwanda, Sudan Kusini, Burundi, Uganda na mwenyeji ni Tanzania.Mkurugenzi Mtendaji wa TANLAP, Christina Kamili, akisaini mkataba huo. Wanachama wa mtandao huo wakiwa kwenye mkutano huo. Kutoka kushoto ni Martine Urugeni kutoka Burundi na Lambert Nsabimana kutoka Burundi.


 Lambert Nsabimana kutoka Burundi, akitia saini mkataba huo.

 Salha Ali Lado, kutoka Sudani Kusini akitia saini makaba huo.
                           Lambert Nsabimana kutoka Burundi, akitia saini mkataba huo
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la National Legal Aid Service  (NLAS) la nchini Kenya, Caroline Amondi, akipeana mkono na Waziri Mahiga. Waziri Mahiga akiwa katika picha ya pamoja na wanachama wa mtandao huo.Mkurugenzi Mtendaji wa TANLAP, Christina Kamili, akizungumza kwenye mkutano huo.
 Wanachama wa mtandao huo wakiwa kwenye mkutano huo.
Mkutano ukiendelea.
Loading...

No comments: