Kibadeni Aipa Mbinu Simba ya Kuimaliza TP Mazembe - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, March 22, 2019

Kibadeni Aipa Mbinu Simba ya Kuimaliza TP Mazembe


Kibadeni Aipa Mbinu Simba ya Kuimaliza TP Mazembe

Kibadeni Aipa Mbinu Simba ya Kuimaliza TP Mazembe
Aliyekuwa mshambuliaji hatari wa klabu ya Simba na mchezaji pekee aliyepiga hat-trick kwenye mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga Julai 19 mwaka 1977 Wanajangwani wakilala kwa jumla ya mabao 6 – 0, lakini pia kwamara ya kwanza akiwawezesha Wekundu wa msimbazi kutinga hatua ya robo fainali ya klabu bingwa barani Afrika mwaka 1974 ambali na hilo legendari huyo akiwa kama kocha alizidi kuingia kwenye vitabu vya kumbukumbu vya soka akiibeba tena miamba hiyo ya Tanzania kufika hatua ya fainali ya Mnamo mwaka 1993, Alhaj Abdallah Athumani Seif ‘King Kibaden Mputa’ amezungumzia mechi ijayo dhidi ya TP Mazembe na kutoa ushauri wake kwa vijana wa Simba SC. z
Loading...

No comments: