KUTOLEWA EUROPA KWAMFUKUZISHA KAZI KOCHA WA SEVILLA, PABLO MACHIN - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Saturday, March 16, 2019

KUTOLEWA EUROPA KWAMFUKUZISHA KAZI KOCHA WA SEVILLA, PABLO MACHIN


Timu ya Sevilla Fc ya nchini Hispania wamemfukuza kazi kocha wao Pablo Machin jana Ijumaa ikiwa ni siku moja tu baada ya klabu hiyo kutolewa kwenye mashindano ya UEFA Europa league dhidi ya timu ya Slavia Prague. 

Klabu hiyo ya LaLiga imemuweka madarakani Mkurugenzi wao wa Michezo aitwaye Joaquin Caparros kuwa kocha wa muda mpaka mwisho wa msimu huu. 

Sevilla wanashika nafasi ya sita kwenye msimamo wa LaLiga wakiwa na pointi 40 ambazo ni pointi tano pungufu ya wanaoshika nafasi ya nne, timu ya Getafe. 

Loading...

No comments: