LIONEL MESSI AITWA NA KUJUMUISHWA KATIKA KIKOSI CHA ARGENTINA KWA MECI ZA KIRAFIKI - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, March 8, 2019

LIONEL MESSI AITWA NA KUJUMUISHWA KATIKA KIKOSI CHA ARGENTINA KWA MECI ZA KIRAFIKI


Mkali na fundi wa soka, Lionel Messi amejumuishwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Argentina ikiwa ni mara ya kwanza tangu zimalizike Fainali za Kombe la Dunia 2018 Nchini Urusi. 

Kocha Scaloni amemuita Lionel Messi katika Kikosi hicho kitakachocheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Venezuela na Morocco kati ya Machi 22 na 26. 

Wengine walioitwa ni pamoja na Paulo Dybala, Angel Di maria, Angel Correa, Nicolas Otamendi, nk. Tumekuwekea list ya wachezaji walioitwa hapa chini.


Loading...

No comments: