Lowassa, Sumaye Waongoza Harambee Azania Front - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Sunday, March 24, 2019

Lowassa, Sumaye Waongoza Harambee Azania Front


lowassa, Sumaye Waongoza Harambee Azania Front

Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa, leo ameongoza harambee ya uzinduzi wa Albamu ya Kwaya Kuu ya Kanisa la KKKT Usharika wa Azania Front Dar es Salaam.

Katika uzinduzi huo, Lowassa alimuomba Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Fredrick Sumaye kuungana naye katika kuwachangia wanakwaya hao ili waweze kuendeleza kazi ya injili.

Kwenye harambee hiyo, watu wengi mashuhuri waliungana na viongozi hao wastaafu katika kuunga mkono harambee hiyo. 
Loading...

No comments: