MACHACHARI AGBONLAHOR ATANGAZA KUSATAAFU SOKA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, March 28, 2019

MACHACHARI AGBONLAHOR ATANGAZA KUSATAAFU SOKA


Aliyewahi kuwa mshambuliaji wa klabu iliyokuwa ikishiriki katika ligi kuu nchini Uingereza (EPL) Aston Villa, Gabriel Agbonlahor jana ametangaza kustaafu kucheza mchezo wa soka akiwa na umri wa miaka 32. 

Gabby Imuetinyan Agbonlahor alianza kuichezea Aston Villa akiwa na umri wa miaka 17 na akafanikiwa kuichezea michezo 341 na kufanikiwa kufunga magoli zaidi ya 75. 

Agbonlahor alikuwa ni mmoja wa wachezaji nyota wa klabu hiyo na alikuwa nembo (icon) ya timu hiyo pia. 
Loading...

No comments: