Makamu wa Rais Mama Samia Akutana na Miss World Africa - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, March 14, 2019

Makamu wa Rais Mama Samia Akutana na Miss World Africa


Makamu wa Rais akutana na Miss World Africa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kusalimiana na  Miss Uganda 2018 ambaye pia ni Miss World Africa Quiin Abenakyo (kulia) wakati wa mkutano wa Africa Now Summit 2019 unaofanyika Munyonyo, mjini Kampala, Uganda 
Loading...

No comments: