Mama Sokoine Amtembelea Mama Maria Nyerere Nyumbani kwake - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, March 27, 2019

Mama Sokoine Amtembelea Mama Maria Nyerere Nyumbani kwake

Mama Sokoine Amtembelea Mama Maria Nyerere Nyumbani kwake
Mama Maria Nyerere (kushoto mbele) akiwa na mgeni wake, mjane wa Waziri Mkuu wa zamani,  Mama Napono Sokoine aliyemtembelea nyumbani kwake Msasani jijini Dar es Salaam, jana. Wengine katika picha (kutoka kushoto) ni msaidizi wa Mama Maria, Wambura; Mbunge wa Viti Maalumu, Namelok Sokoine, Elysia Sokoine; na Ninai Sokoine. Mbuzi anayeonekana ni zawadi ya Mama Sokoine aliyompelekea Mama Maria.

MJANE wa Waziri Mkuu wa zamani, Mama Napono Sokoine,  jana alimtembelea Mama Maria Nyerere nyumbani kwake Msasani jijini Dar es Salaam. 
Loading...

No comments: