MAMBO MAZURI KWA HUDSON-ODOI; AITWA TIMU YA TAIFA YA WAKUBWA KWA MARA YA KWANZA.. - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Tuesday, March 19, 2019

MAMBO MAZURI KWA HUDSON-ODOI; AITWA TIMU YA TAIFA YA WAKUBWA KWA MARA YA KWANZA..


Kinda machachari uwanjani Callum Hudson-Odoi ameitwa katika kikosi cha wakubwa cha timu ya taifa ya Uingereza chini ya kocha Gareth Southgate kwa mara ya kwanza. 

Winga huyo wa Chelsea mwenye umri wa miaka 18 awali aliitwa kwenye kikosi cha Uingereza chini ya miaka 21 lakini sasa ameungana na kikosi cha Southgate kinachojiandaa na mechi dhidi ya Czech Republic na Montenegro. 

No comments: