MAN CITY YAMUONGEZEA MKATABA BERNADO SILVA, BADO YUPO YUPO MPAKA 2025 - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, March 15, 2019

MAN CITY YAMUONGEZEA MKATABA BERNADO SILVA, BADO YUPO YUPO MPAKA 2025


Mabingwa watetezi wa ligi kuu nchini Uingereza, Klabu ya Manchester City, imemuongeza mkataba kiungo wao Bernardo Silva. 

Mkataba huo utamfanya Bernado abaki katika klabu hiyo mpaka mwaka 2025. 

Nyota huyo alijiunga na klabu ya Manchester City mwaka 2017 akitokea klabu ya Monaco, kwa ada ya uhamisho wa paundi milioni 43. 
Loading...

No comments: