MARTIAL NJE KIKOSI CHA UFARANSA, MAJERAHA YACHANGIA... - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, March 18, 2019

MARTIAL NJE KIKOSI CHA UFARANSA, MAJERAHA YACHANGIA...


Winga wa klabu ya Manchester United Anthony Martial, ameondolewa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Ufaransa baada ya kuumia goti kwenye mechi ya FA Cup dhidi ya Wolves juzi usiku. 

Martial alikuwa ni mmoja wa wachezaji 32 walioitwa na kocha Didier Deschamp kitakachoshiriki mechi mbalimbali za kimataifa. 
Loading...

No comments: